Kenneth Kaunda atimiza miaka 93

Keneth Kaunda aliiongoza Zambia kwa karibu miaka 30

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Keneth Kaunda aliiongoza Zambia kwa karibu miaka 30

Rais wa zamani wa Zambia Kenneth Kaunda, mmoja wa viongozi wa mwisho walio hai barani Afrika walioshiriki katika kupigania uhuru wa nchi zao ametimiza miaka 93.

Bwana Kaunda aliongoza Zambia kupata uhuru mwaka 1964 na kuwa rais wake wa kwanza.

Baadhi ya raia wa Zambia wamekuwa wakisambaza picha ya baba mwanzilishi wa taifa hilo.

Chanzo cha picha, Grieve Chelwa/twitter

Maelezo ya picha, Baadhi ya raia wa Zambia wamekuwa wakisambaza picha ya baba mwanzilishi wa taifa hilo.
Baadhi ya raia wa Zambia wamekuwa wakisambaza picha ya baba mwanzilishi wa taifa hilo.

Chanzo cha picha, Mvesesani/twitter

Maelezo ya picha, Baadhi ya raia wa Zambia wamekuwa wakisambaza picha ya baba mwanzilishi wa taifa hilo.

Baadhi ya raia wa Zambia wamekuwa wakisambaza picha ya baba mwanzilishi wa taifa hilo.

Picha iliyo china hapa ni kutoka kwa kumbukumbu wakati bwana Kaunda alikuwa akishiriki kwenye mazungumzo na waingereza mwaka 1961.

Kaunda akiwa uingereza mwaka 1961

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Kaunda akiwa uingereza mwaka 1961