Kwanini watu wengi wanaogopa kula wadudu wakati zaidi ya watu bilioni mbili wanakula?

Wadudu aina ya nyenje hupatikana kwa wingi sana baada ya miaka 17,Lakini kwanini hatuli kile ambacho watu wengine bilioni mbili wanakula duniani kote?

Wadudu wanadaiwa kuwa na protini nyingi sana na virutubisho muhimu katika mlo kamili.