Corona: Madaktari wasema ripoti kuisaidia Tanzania kukabiliana na maradhi

Kufuatia kuwasilishwa kwa ripoti hiyo ya Corona kwa Rais Samia Suluhu, mwandishi wa BBC Leonard Mubali muda mfupi uliopita amefanya mahojiano na Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania, Dokta Shadack Mwaibambe, na kwanza amemuuliza amepokeaje ripoti hiyo ya kamati maalumu kuhusiana na Covid 19?