Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Huu ndio wakati Jengo kubwa linapoangushwa kwa kombora mubashara katika runinga
Makombora ya Israeli yameharibu Jengo la ghorofa huko Gaza katikati ya mapigano makali ambayo yamefika kiwango cha kuogofya katika miaka kumi .
Kuzidi kwa ghasia hizo , ambazo zilianza Jumatatu, kumesababisha vurugu mitaani huko Israeli kati ya Wayahudi na Waarabu wa Israeli. Runinga ya BBC Arabic ilikuwa hewani wakati shambulizi hilo la angani lilipotokea nyuma ya mtangazaji wake