Daraja la watembea kwa miguu lililo refu zaidi kufunguliwa

Likiwa limepita kati ya milima yenye miamba ya Arouca nchini Ureno, daraja jipya limekuwa daraja refu zaidi duniani la watembea kwa miguu na linafunguliwa rasmi kwa Umma mnamo 3 Mei.

Ilichukua miaka miwili kujenga kwa gharama ya dola milioni 2.8.