Virusi vya corona: Sababu zilizolifanya kanisa Katoliki Tanzania kutoa tahadhari juu ya corona

Maelezo ya sauti, Kanisa Katoliki Tanzania latahadharisha juu ya wimbi jipya la corona

Kanisa Katoliki nchini Tanzania limetoa tahadhari juu ya wimbi jipya la maambukizi ya corona na kuwataka wananchi kuchukua hatua zote za kujikinga.

Padre Charles Kitima anaelezea kwanini kanisa limefikia hatua hiyo;