Tanzania: Wahadzabe na Sikukuu za mwisho wa mwaka

Wakati Heka heka za Maandalizi ya Siku kuuzikiendelea kote ulimwenguni maelfu wakirejea makwao kusherekea Jamii ya wahadzabe nchini Tanzania wao walisherekea Tangu mwezi wa kumi na moja kabla ya mvua za vuli.

Mara zote wahadzabe husherekea punde tu miti inapoanza kuchanua baaada ya mvua za awali za vuli sherehe zao huanikizwa kwa Ngoma na milo maalumu ikiwemo asali, ubuyu na nyama.Video: Eagan Salla