BBC Africa Eye:Biashara haramu ya watoto Kenya

Mwezi uliopita, BBC Africa Eye kufichua biashara haramu ya watoto katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi. Polisi waliwakamata watu saba kwa makoa ya kusafirisha watu.

Lakini vipi kuhusu wanawake wa upande mwingine wa mikataba hii haramu? Ni nini kinachomsukuma mama kuuza mtoto wake kwa pauni 70?