Najma Makena: Watu hufikiria kazi ninayofanya ni ya kishetani

Najma Makena ni mwanamke wa Kisomali anayeishi Nairobi Kenya ambaye amekuwa akitengeza mapambo ya kuogofya tangu 2018.

Hatahivyo wengine wanaamini kutokana na imani yake, kazi yake ya mapambo ya kuogofya ni ya kishetani.

Hatahivyo hilo halijamzuia Najma ambaye ndoto yake ni kufanya kazi Hollywood .

Video: Emmanuel Jambo

Picha: Emmanuel Jambo

Wazalishaji: Esther Akello Ogola na Anthony Irungu