Uchaguzi Uganda 2021: Je kura za vijana zinaweza kumpa ushindi Bobi Wine?

Bobi Wine ana matumaini ya kupata kura za vijana, lakini je kura hizo zitampa fursa kuwa rais ajaye?

Mwanamuziki Bobi Wine anakabiliana na rais wa taifa hilo kwa miongo kadhaa Yoweri Museveni. Museveni ni miongoni mwa viongozi wa barani Afrika aliyekaa madarakani kwa muda mrefu zaidi. i