Uchaguzi Tanzania 2020: Tundu Lissu aieleza BBC vipaumbele vyake iwapo atachaguliwa

Katika mfululizo wetu wa kuzungumza na wagombea wa viti vya urais Tanzania bara na visiwani leo mwenzangu Zuhura Yunus anazungumza na mgombea kiti cha urais kwa tiketi ya chama cha Chadema Tundu Lissu ,

Ambapo ameanza kwa kumuuliza kuhusu vipaumbele vyake iwapo atachaguliwa .