Uchaguzi Tanzania 2020: Maalim Seif aielezea BBC vipaumbele katika sera zake

Maelezo ya sauti, Maalim Seif ‘Mimi ni muumini mkubwa wa muungano nataka muungano wa haki na usawa’

Tunaendelea na mfululizo wetu wa kuzungumza na wagombea wa urais Tanzania bara na visiwani ambapo leo tunazungumza na mgombea kiti cha Urais visiwani Zanzibar Maalim Seif Shariff, ambae anaainisha mambo anayoyapa kipaumbele katika sera zake na mengine mengi .

Mwandishi wa BBC Zuhura Yunus ameaanza kwa kumuuliza kama anajutia kususia uchaguzi mkuu ulipita.

Unaweza pia kusoma: