Kilio ni tiba ya msongo wa mawazo

Rui-katsu maana yake ni 'kutafuta machozi'. Hii ni huduma inayotoa msaada na eneo salama kwa ajili ya watu kulia.

Inadaiwa kuwa kulia kunaondoa msongo wa mawazo na kuwasaidia wale wanaopata tabu kueleza hisia zao hasa kutokana na unyanyapaa.

Yoshida ni mwalimu wa machozi anaamini machozi yana nguvu kubwa ya kuponya.