Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
'Mchungaji alikuwa na wasiwasi kwamba akitufungisha ndoa atapata dhambi'
Nchini Tanzania, jitihada mbalimbali zimekuwa zikifanyika kwa upande wa serikali na hata mashirika yasiyo ya kiserikali ili kukabiliana na unyanyapaa uliopo dhidi ya watu wenye ulemavu.
Hata hivyo, baadhi ya walemavu wanasema, changamoto kubwa wanayokabiliana nayo ni katika kutafuta wachumba, hali iliyomfanya Nyange Bobo ambae ni mlemavu wa viungo kuamua kuoana na mlemavu mwenzake Bi.Pauleta Mbisho.
VIDEO: Na Munira Hussein