Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Hiba aliachwa na figo moja baada ya kutapeliwa na wauza viungo vya binadamu Misri
Wanahabari wa taarifa za uchunguzi BBC wamezungumza na mfanyabiashara wa viungo vya binadamu ambaye amesema kuwa genge lake hupanga upandikizaji haramu wa figo 20 mpaka 30 nchini Misri kila wiki.
Hiba aliachwa na figo moja na bila malipo baada ya kudanganywa na wahalifu hao baada ya kufanyiwa upasuaji.