Victoria Rubadiri ndiye mshindi wa tuzo ya Komla Dumor

Tuzo ya Komla Dumor ni tuzo ya uandishi wa habari iiyoanzishwa mwaka 2015 kwa heshima ya mwanahabari Komla Dumor aliyefanya kazi na BBC World News , akiwa mtangazaji wa kipindi cha Focus on Africa.

Mtazame mshindi wa sita wa tuzo hii Victoria Rubadiri kutoka nchini Kenya.