Gabola: Kanisa la Afrika Kusini 'linaloruhusu pombe wakati wa ibada'

Kuna mataifa mengi duniani lakini ni machache yanayofanana na kanisa la Gabula ncnhini Afrika Kusini. Gabola inamaanisha ‘kunywa pombe’ kwa lugha ya SeTswana language. Kanisa la Gabola linaamini waumini wake wanaweza kumtukuza Mungu kwa kunywa Pombe wakati wa ibada. Afrika Kusini imepiga marufuku uuzaji wa pombe kwa mara ya pili ili kudhibiti maambukizi ya Covid-19. Kanisa hilo linaendesha vipi ‘’ibada’’ zake bila pombe? BBC ilizungumza na mwanzililishi wa kanisa hilofounder, Papa Tsietsi Makiti.