Mzozo kati ya Marekani na China

Hali si hali kati ya Marekani na China na sio tu kuhusu suala la kibiashara. Fahamu unachohitajika kujua kuhusu kinachoendelea kati ya nchi hizo mbili zenye uchumi mkubwa duniani.