Pesa za kukabiliana na janga la virusi vya corona zinatoka wapi?

Wakati watu wanakuwa na wakati mgumu kurejelela maisha ya kawaida huku wengine wengi wakiwa wameambukizwa virusi vya corona, nchi tajiri duniani zinatoa kiasi kikubwa cha pesa kama njia moja ya kupambana na virusi hivyo. Lakini je unafahamu chanzo cha pesa hizo na zitalipwa vipi?