Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Virusi vya corona: Ni nani aliyetoa fursa ya kwanza ya chanjo ya tiba duniani?
Kusaga makaratasi na kudunga watoto usaa huenda usidhani kuwa ni jambo la muhimu katika mbinu za kisayansi, lakini zote ni sehemu za historia ya chanjo. Hivi ndivyo Edward Jenner alivyosaidia kutengeneza tiba ambayo ilinusuru maisha ya mamilioni ya watu.