Virusi vya corona: Wakaazi wa Wuhan wazungumzia kuhusu mafunzo waliopata

Mji wa Wuhan nchini China, ambao ndio chanzo cha mlipuko wa virusi vya corona hatimaye umekamilisha karantini ya wiki 11 huku maambukizi na vifo vikiisha.

Huku wakitoka katika amri hiyo ya kutotoka nje , wakaazi wamekuwa wakizungumzia walichojifunza kutokana na mlipuko huo na kutoa maneno ya kutia moyo kwa watu wengine duniani.