Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Huyu ni shabiki wa Samatta maarufu kama ‘Ujugu’ ambaye amekuwa akimfuatilia unyounyo
Huyu ni shabiki sugu wa Samatta maarufu kama ‘Ujugu’ ambaye amekuwa akimfuatilia unyounyo.
Shabiki huyu anafurahishwa na maendeleo ya Samatta katika timu ya Aston Villa kiasi cha kuwa na matumaini makubwa kwamba si mbali Samatta atakuwa nahodha wa timu hiyo.
Hajawahi kukutana naye ana kwa ana lakini anakiri kwamba kumfuatilia kwa karibu, kumefanya yeye kupata sana pesa katika mchezo wa bahati nasibu.
Kwasababu yeye ni shabiki mkubwa tu wa Samatta, ameahidi kwamba ikatokea kuwa anahamia klabu nyingine, atakuwa hana budi zaidi ya kuhama naye vilevile.
Video:Eagan Salla