Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
VBertolt Meyer : Mtu anayeweza kutengeneza muziki kwa ubongo wake
Mwanamuziki wa muziki wa elektroniki Bertolt Meyer ameiambia BBC Radio 5 Live jinsi anavyoweza kuunganisha mkono wake bandia na mishipa na kucheza muziki kwa kuufikiria muziki huo kwa akili. Utaizungumziaje teknolojia
ya siku hizi. Tupe maoni yako katika ukurasa wa facebook bbcswahili