Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Mtazamo wao ni kuwa miamba iligongana kwa pamoja na kuunda miamba mikubwa hadi kuwa sayari
Wanasayansi wa Nasa wanadai wamebadili nadharia iliyopo ya jinsi sayari katika mfumo wa jua zilivyoundwa.
Mtazamo wao ni kuwa miamba iligongana kwa pamoja na kuunda miamba mikubwa hadi kuwa sayari.
Matokeo mapya yalichapishwa kwenye jarida la kisayansi limesema kuwa uundwaji huu ulikuwa wa utulivu , miamba ikijikusanya pamoja.