Daniel Toroitich Arap Moi: Wakenya wapanga milolongo mirefu kutoa heshima yao ya mwisho kwa rais mstaafu

Wakenya walipanga milolongo mirefu ili kutoa heshima yao ya mwisho kwa rais mstaafu Daniel Moi