Mazishi ya Soleimani: Watu 50 wapoteza maisha baada ya kukanyagana Iran

Watu 50 wameripotiwa kufariki kufuatia kisa cha mkanyagano katika mazishi ya Qasem Soleimani, jenerali wa kikosi maalum cha jeshi la Iran alieuawa na Marekani wiki iliyopita.