McDonald's zote Peru zilifungwa kwa siku mbili

Migahawa yote ya Mc Donalds nchini Peru imefungwa kwa sikumbili baada ya vijana wawili kufariki baada ya kuuawa na umeme kwenye tawi moja la mgahawa huo jijini Lima.

Alexandra Porras Inga, mwenye miaka 19, na Gabriel Campos Zapata, aliye na miaka 18, walifariki walipokuwa wakisafisha sehemu ya jikoni ya mkahawa huo.

Unadhani migahawa imeweka mikakati ya kutosha ya usalama?