Wahamiaji wa Afrika wanaosafiri katika msitu hatari kujaribu kuingia Marekani.
Darien Gap ni msitu mojawapo hatari duniani - uliojaa walanguzi, wezi na wanyama hatari.
Basi kwanini maelfu ya waafrika wanajaribu kuuvuka msitu huu Amerika kusini?
Mwandishi wa BBC Catherine Byaruhanga amejiunga na msafara huo.
Mpiga Video: Mohamed Madi
Mzalishaji: Alejandro Millan
