Usilolijua kuhusu wahamiaji wa jadi Marekani
Kauli ya hivi karibuni iliyotolewa na Rais wa Marekani Donald Trump dhidi ya wanasiasa wanne kutoka chama cha Democratic imeendelea kuzua gumzo kali ndani na nje ya nchi hiyo
Trump aliwashambulia wanawake hao kwenye ujumbe wa Twitter akidai kuwa wanawake hao "wamewasili kutoka mataifa ambayo serikali zake ni majanga matupu", kabla ya kupendekeza "warudi walikotoka".
Lakini wanasiasa hao na Trump mwenyewe wanatoka wapi?
Hii ni simulizi ya kushangaza ya wahamiaji wa jadi Marekani.