Njia mbili za kuishinikiza nafasi ya mwanamke katika masomo ya sayansi

Maelezo ya video, Njia mbili za kuishinikiza nafasi ya mwanamke katika masomo ya sayansi

Wanawake ni chini ya thuluthi moja ya wanasayansi hii leo lakini mshindi wa tuzo ya Nobel Elizabeth Blackburn anataka wasichana wasisitize ili kuipata thamani yake. Kujiamini na kuomba usaidizi ni njia mbili ya kuziba pengo la kijinsia na kushinikiza nafasi ya wanawake katika masomo ya sayansi teknolojia uhandisi na hesabati - STEM.