Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Yongren Otindo: Gwiji wa kucheza piano asiyeona
Mvulana aliye na ulemavu wa macho ambaye ni gwiji wa kucheza piano na kukarabati vifaa vya kielektroniki.
Yongren Otindo kutoka Kenya ana umri wa miaka 19 na alipoteza uwezo wa kuona akiwa na umri wa miaka minne.
Video imeandaliwa na Anthony Irungu, Anne Okumu na Agnes Penda.