AFCON 2019: Wanawake wanafurahia fursa ya 'kudumisha ndoa'

Maelezo ya video, AFCON 2019: Wanawake wanafurahia fursa ya 'kudumisha ndoa'

Mashindano ya kandanda yanavyozidi kuendelea nchini Misri, kule pwani ya Kenya miongoni mwa wanawake nao wanazidi kufurahia fursa wanayotaja kuwa ya 'kudumisha ndoa zao'. Baadhi kama Hassanati Swaleh wanasema waume zao hawatoki nje kutazama mechi hizo.

Video; John Nene