Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Madaktari wanavyotumia muziki kukuza ubongo wa watoto wachanga
Watafiti nchini Uswizi wamegundua kuwa kuwachezea muziki maalum watoto wachanga waliyozaliwa kabla ya muda wao wa kutimia kunaweza kuwasaidia kukuza na kuimarisha ubongo wao mchanga.