Kwa nini mtu huyu aliamua kwenda kuishi pangoni

Hali ya maisha ya wakaazi nchini Kenya inazidi kuwa ngumu. Na hiyo huenda ndio sababu kwa nini Swaleh Rama mwenye umri wa miaka 27 ameamua kuishi pangoni kwa miaka minne sasa katika bustani ya Mama Ngina mjini Mombasa .Mwandishi wa BBC John Nene alikutana naye ili kuelewa kwa nini alimua kuchukua hatua hiyo.

Ripoti: John Nene