Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Facebook: Yalaumiwa kutodhibiti mitandao yake, kwanini ?
Facebook inasema itakuwa ikifuta taarifa au maoni yoyote yanayounga mkono au kushabikia vitendo vya itikadi kali za kutukuza ukatili na ugaidi unaofanywa na makundi ya wazungu wanaoendeleza ubaguzi wa rangi.
Facebook imejikuta lawamani kwa kutohariri yachapishayo mitandaoni mwao.
Shtuma hizo zimeongezeka baada ya lile tukio la mzungu mmoja kuwauwa waumini zaidi ya 50 katika misikiti ya huko New Zealand na kisha kutangaza Live kupitia fb - Udhibiti huo uta itachukuliwa katika mitandao yake mingine kama Instagram kuanzia wiki ijayo.