Pierra Makena: Mwanamke anayejikimu maisha kwa kuwa DJ Kenya
Pierra Makena ni mama, mjasiriamali, mtangazaji biashara na pia DJ.
Je anapambana vipi kuweka usawa katika kazi yake ambayo sio inayoshuhudiwa sana kwa wanawake na kuwa mama mlezi kwa mwanawe? Tumeandamana naye
Muelekezi: Idris Situma
Video: Judith Wambare

