Farah Khaleck: Mwanamke nchini Kenya anayeugua ugonjwa adimu na usiotibika scleroderma
Farah Khaleck anaugua ugonjwa wa scleroderma unaofanya ngozi na viungo kuwa vigumu kutokana na kujikaza. Anaitumia hali yake kuwapa watu motisha na kujikubali jinsi walivyo.
Video: Anne Okumu/ Anthony Irungu
