Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Bryson Mwamburi: Simulizi ya aliyedhaniwa kuwa ni gaidi katika shambulio Kenya
Bryson Mwamburi ni muathiriwa wa shambulizi la kigaidi lililotekelezwa katika hoteli ya Dusit siku ya Jumanne jijini Nairobi. Hata baada ya kuepuka kufyatuliwa risasi na mshambuliaji mmoja, alikamatwa na maafisa wa polisi kama mshukiwa. Je nini kilichofuatia?