Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Uchaguzi DRC: Ukatili na uhalifu wa asili uliopanda mbegu za vurugu
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo inafaa kuwa miongoni mwa mataifa tajiri zaidi duniani kutokana na utajiri wake wa rasilimali.
Lakini raia wake ni miongoni mwa wale maskini zaidi duniani, na maeneo mengi huathiriwa na vita mara kwa mara.
Ilikuwaje hali ikawa hivyo nchini humo?