UN inavyojaribu kudumisha amani mashariki mwa DRC

Vita vimekuwepo mashariki mwa nchi hiyo kwa miaka 20 iliyopita. Watu takriban milioni tano wamefariki kutokana na vita hivyo vya wenyewe kwa wenyewe.

Umoja wa Mataifa umekuwa ukilinda Amani maeneo hayo kwa muda mrefu.