'Little Messi' alipata umaarufu sana lakini sasa Taliban wanasema wakimpata mtoto huyu watamkatakata vipande

Taliban wanasema wakimpata mtoto huyu kwa jina maarufu kama Little Messi watamkatakata vipande na sasa familia yake imeamua kukimbia kwenda mjini Kabul