UN:Wanawake 137 huuawa kila siku duniani kutokana na mzozo ya kinyumbani

Maelezo ya sauti, UN:Wanawake 137 huuawa kila siku duniani kutokana na mzozo ya kinyumbani

Wanawake 137 huuawa kila siku ulimwenguni kutokana na mizozo ya kinyumbani kulingana na kitengo cha Ofisi ya Umoja wa Mataifa kuhusu Dawa za Kulevya na Uhalifu (UNODC).

Je, kwa nini wanawake wapoteze maisha yao katika majumba yao?