Nyota wa Liverpool Daniel Sturridge matatani kwa uchezaji wa kamari
Mshambuliaji wa Liverpool Daniel Sturridge ameiomba FA kumpatiwa wakati zaidi wa kujibu shtaka la kushiriki katika uchezaji kamari. Alishtakiwa wiki iliyopita na alipewa hadi jana kujibu shtaka hilo.
