Ulimwengu waadhimisha siku ya watoto duniani
Leo ni siku ya watoto duniani, Umoja wa mataifa ulianzisha siku hii mwaka 1954,na husheherekewa kila ifikapo tarehe 20 mwezi Novemba kila mwaka kwa ajili ya kuhamasisha na kueneza uelewa miongoni mwa watoto duniani.
