Marie Stopes yazuia huduma za uavyaji wa mimba Kenya

Wakuu wa matibabu nchini Kenya, wameishauri huduma kuu ya kituo cha kimataifa cha matibabu ya uzazi maarufu Marie Stopes, kukoma mara moja kutoa huduma ya aina yoyote ya uavyaji mimba.