Mtunzi wa tamthilia ya Spiderman Stan Lee afariki dunia

Maelezo ya sauti, Mtunzi wa tamthilia ya Spiderman Stan Lee afariki

Mtunzi wa tamthilia kama zile za Spiderman,The Incredible Hulk na Captain America, Stan Lee amefariki huko Los Angeles akiwa na umri wa 95. Vipindi hivyo vya aina yake vilipata umaarufu mkubwa enzi hizo na vinakadiriwa kupata faida ya zaidi ya dolla billion 20.