Muigizaji Shirley Hellyar aliyejichangishia pesa za mazishi afariki
Muingizaji Shirley Hellyar aliyejichangishia pesa za mazishi baada ya kuarifiwa na madaktari wake kwamba ana wiki chache za kuishi amefariki huko Glasgow akiwa na miaka 40. Hapo awali Hellyar alidhani amepukana na saratani na kuamua kusherehekea kwa kusafiri kuelekea Newcastle.
Je,ingekuwa wewe unasiku chache za kuishi ungefanya nini?
Tujadiliane kwenye Facebook BBCSwahili.