Michelle Keegan: Wanawake wanastahili kufanyiwa uchunguzi wa saratani ya uzazi

Muigizaji wa filamu wa Uingereza Michelle Keegan amewasihi wanawake kote duniani kujitokeza na kwenda kufanyiwa uchunguzi wa kina wa ugonjwa wa saratani ya uzazi. Keegan amekiri yeye binafsi amelipulizia swala hilo kwa muda mrefu.