Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Kenya: Watoto wa kike katika jamii ya waoromo wanachumbiwa siku ambayo wanazaliwa
Kusini mashariki mwa Kenya katika kaunti ya Tana River, Watoto wa kike katika jamii ya waoromo wanachumbiwa siku ambayo wanazaliwa.
Wazazi wa watoto hao wanasema kwamba huo ni utamaduni wao ambao unawanufaisha mabinti zao kwa siku zijazo na kuimarisha uhusiano wa familia na jamii inayowazunguka.