Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Treni ya kwanza ya haidrojeni duniani inayotoa maji badala ya moshi yaanza kuhudumu Ujerumani
Ujerumani ni taifa la kwanza duniani kuzindua treni inayotumia haidrojeni.
Sasa Uingereza pia anaazimia kutumia treni hiyo ambayo badala ya moshi kawaida hutoa mvuke, baada ya haidrojeni kuunganishwa na oksijeni.